Naamini ya kuwa Mungu anafanya kazi katika maisha yako. Jaribu KUMTII na KUMHESHIMU, kwa kusoma na kutekeleza NENO lake. Pata Mafundisho ya Neno la Mungu, na habari mbalimbali za Kikristo kupitia Blog yetu ya; www.esowane.blogspot.com
Na pia, tuna'page yetu inayoitwa "Halleluyah Gospel Outreach", itafute na Kisha bonyeza kitufe cha "Like" ili kujiunga nasi.
UBARIKIWE SANA...!