Tahadhari ya kukaribiana na marafiki waovu-She Bachu, tuchague marafiki wema na si kumpa siri zote twaghuti na kumpenda kuliko muisilam mwenzio. Inshaalah Allah atujalie kufanya uadilifu. Vijana 2jiepushe sana na matashi kwani wengi 2napenda maovu na 2kiambiwa 2nasema hii inaongeza ajira mfano muziki.