(COMEDY)
Mshikaji mmoja alikuwa
amekaa na baba yake
nyumbani,mara
akamuöna
dem wake amekuja
kumtembelea.
Bahati mbaya babake
alikuwa
mkali,wakataka
kumficha
mazungumzo yakawa
hivi:-
MSHIKAJI:"Umeku ja
kuchukua
kitabu cha SPEAK ENGLISH
MY
FATHER DOESNT KNOW."
DEM:"Yes,na kile cha
WHERE
SHOULD I WAIT FOR
YOU."
MSHIKAJI:"Dah.. .hicho
sina
labda cha WAIT FOR ME
UNDER
THE MANGO TREE."
DEM:"Sawa,usisa hau cha
I GIVE
YOU 5MINUTES."
MSHIKAJI:"Pouwa
h...nitakupa
na cha I WONT LET YOU
DOWN."
BABA:"Mbona
vingi,atamaliza
kuvisoma kweli?"
MSHIKAJI:"Yule dada ana
akili
sana,ye ndio
anatuongoza
darasani."
BABA:"Aha...bas i mpe na
kile
cha I HAVE UNDERSTOOD