"Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja unlimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi. Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo andhihirshe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo, kwa wale watakaomwamimi baadaye, wapate uzima wa milele. Sasa kwa Mfalme wa milele, asiyeweza kuona uharibifu, asiyeonekana, Mungu peke yake, naiwe heshima na utukufu milele na milele. Amina.
1 Timotheo 1:15-17
Bob Dylan heals my soul a lil' bit. I like Harmonicas and Rosa Love T's.
In Kenya..........
http://lescoats.blogspot.com/
We’ve updated our privacy policy so that we are compliant with changing global privacy regulations and to provide you with insight into the limited ways in which we use your data.
You can read the details below. By accepting, you agree to the updated privacy policy.