Personal Information
Organization / Workplace
Dar es Salaam, Tanzania
About
Na katika Yohana:16/7-14 - Injili inasema kwamba Issa (AS) aliwaeleza watu wake juu ya Nabii atakayekuja baada yake, aliposema:
"Hata hivyo bado ningali ninayo mengi ya kuwaambieni, lakini hamwezi kustahamili hivi sasa, lakini atakapokuja huyo roho wa kweli atawaongoza awatie katika kweli yote, kwa maana hatonena kwa shauri lake mwenyewe, bali kila atakalosikia atanena na atakuelezeeni juu ya yatakayokuja yote".
MwenyeziMungu amesema:-
"Na (wakumbushe) aliposema (Nabii)Issa bin Maryam (kuwaambia Mayahudi) "Enyi wana wa Israil)! Mimi ni Mtume wa MwenyeziMungu kwenu nisadikishaye yaliyokuja kabla yangu katika Taurat na kutoa habari njema ya Mtume atakaekuja nyuma yangu ambaye jina lak
Users following Zedd Hassan