nimezaliwa katika kjj cha koreri wilaya ya serengeti kata ya lughulu mkoa wa mara .nimesom shule ya msingi koreri na kumalizia elim yangu ya msng DSM katika shule ya msingi Kitunda na hatimae nikajiunga na elim ya sc dsm katika shule ya sekondari JUHUDI n sikusita kutumia juhudi zangu katika shule hiyo na kufanikiwa kujiunga na elim ya ADVANC katika shuleb ya sekondari ya KIBITI kutokana na matatizo mbalimbali nilihamishwa na serikasli kwenda SAME SEKONDRI.kwa ss nipo UDOM nachukuwa Bachaler of computer science and imformation security.