Personal Information
Organization / Workplace
Tabora
Occupation
Self Employed and Loving It!
About
Jina langu kamili naitwa Joseph Mhecha, nimezaliwa mwaka 1993 tarehe 26 mwezi wa 5, Tukuyu mkoani Mbeya. Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Bwana na Mama Agrey Mhecha, katika hii familia yangu tumebahatika kuwepo watoto watano, mimi nikiwa wa kwanza, wa pili ni dada Elizabeth Mhecha, wa tatu ni Peter Mhecha, wa nne ni Francis Mhecha, na wa mwisho anaitwa Erick Mhecha. Nilipata kuzaliwa Duniani mwaka 1993 mkoani Mbeya, Tukuyu ingawa ni mwenyeji wa Songea, mkoani Ruvuma, Tanzania, pamoja na kuzaliwa mkoa wa Mbeya lakini katika makuzi yangu nimekulia sana kwenye mkoa wa Dar Ea Salaam.
Ni mpenzi wa mpira wa miguu na ni shabiki mkubwa wa Yanga kwa Tanzania na Chelsea kwa ligi ya uingereza p
Users following Joseph Mhecha