Mtoto wa mkulima, niliyebatika kosoma shule za kata (Mabira),na kufaulu kujiunga na kid. tano na sita (Chato boys). sasa niko nachuka bachelor ya ualimu ktk sayansi (biologia) ndani ya UDOM. nawashkuru wote walioniunga mkono ktk michepuo yangu hasa nilipokuwa nimebeba combi Ya CBG. pia bila kumsahaau H.M wa mukire s.s (CYRILO) na Ihingo s.s (BONE) THEY cared me during my tempo time. zingine natuma kwa waskaj wangu wa o'level na h'level (auseb, lay jacson,alhaj, wambula, kiniga, julian rudovick, augustin m, pius paul, anna laurent, restafod, nk.