1. Tel: 555 555 5555
Mauaji ya watu wenye ulemavu wa
ngozi(Albino) ni ushetani ambao umeipa
aibu kubwa sana Tanzania.
Mauaji hayo yamekuwa yakiendeshwa na
imani kwamba sehemu za miili yao/viungo
zinaweza kutengeza utajiri au mafanikio.
Zaidi ya albino 80 wameuawa tangu
2000(Taarifa ya UN)
Na zaidi ya Waganga wa kienyeji 200
wamekamatwa Tanzania kwa madai ya
mauaji ya Albino!
+255758 085 120/+255654
2. +255758 085 120/+255654 615 924
E-mail:- beniefaith@gmail.com
TUFANYE NINI KUTOKO-
MEZA MAUAJI YA ALBINO?
Kutoa taarifa kwenye vyombo
husika na hasa vyombo vya ha-
bari matukio yote nanayohusisha
mauaji ya Albino.
Kuandaa na kutoa nakala
mbalimbali zenye mafunzo na
elimu ya kukemea mauaji na un-
yanyapaa kwa Albino.
Kuielimisha jamii kwa burudani
mbalimbali za nyimbo na
maonesho zenye lengo la kuke-
mea imani potofu juu ya mauaji
ya albino.
Kutunga na kusimamia sheria zi-
takazotetea haki za Abino
pamoja na kuwachukulia hatua
kali wote wataohusika kwa namna
yoyote katika mauaji ya Albino.
UKWELI !
Mauaji ya albino ili kupata viungo vya
miili yao kwa ajili ya mafanikio ndio
mojawapo kati ya matukio yenye sura
ya kipekee katika miaka hii ya
karibuni!.
Katika Afrika mashariki watu wenye
ulemavu wa ngozi(Albino) wame-
kuwa wakivamiwa, kujeruhiwa kwa
silaha, au kuuawa ili kupata viungo
vyao vya mwili, na hasa katika Tanza-
nia ambapo matukio haya yameenea
zaidi katika ukanda wa ziwa wa kusini
Tanzania.
Tanzania ndio nchi pekee kwa sasa
yenye kiwango kikubwa cha mauaji
ya albino katika Afrika Mashariki.
Inaaminika kwamba waganga wanaweza
kutumia sehemu za viungo vya Albino
kumtengenezea mtu bahati.
Au wanaweza kutumia maiti ya Albino
kuondoa laana.
Na ndio maana watoto wengi wa-
meuzwa na kuuawa na wengine wengi
wamesalitiwa na ndugu zao na kupoteza
usalama wao!
IMANI POTOFU
NA WAO NI WATU KAMA SISI!