ºÝºÝߣ

ºÝºÝߣShare a Scribd company logo
MAISHA YA UJANA/WAKATI WA UJANA (MHUBIRI 12:1-8)
(VIJANA WA KIUME NA WAKIKE UMRI MIAKA 13-35)
MJUMBE WA BWANA VICTOR MSERE AKIDIVA
Ujana ni kipindi kati ya utoto na utu uzima au ukomavu. Kipindi chochote cha kuendelea kuwa
au watu wachanga kwa ujumla.
JINSI YA MAISHA YA UJANA:
(i) Kuwa mbichi, na nguvu, pia kuchangamka
(ii) Kutokuwa mkomavu
(iii) Kuwa na uwezo wa kutunza maisha, nguvu nyingi, hai na muhimu sana, wakati huu
mwili unauwezo wa nguvu nyingi hata kiakili.
(iv) Majukumu machache na uhuru mwingi.
(v) Muda wa kutosha au mwingi wa kufanya chochote utakacho katika maisha yako.
MAMBO YA KUFANYA KATIKA MAISHA YA UJANA:
1) Weka msingi kwa ajili ya maisha yako (Mathayo 7:24-27)
2) Jenga madhabahu ya Bwana katika maisha yako (Waamuzi 6:11-40)
3) Tengeneza uhusiano wako na Mungu (Mika 6:8)
4) Chagua marafiki wema na sahihi (Mithali 18:24)
5) Tengeneza uhusiano wa haki na kweli (Mathayo 1:19-25)
6) Soma, tafakari na kulitenda Neno la Mungu (Yoshua 1:8)
7) Maombi kwa ajili ya maisha yako (Wathesalonike 5:17)
8) Mruhusu Roho wa Mungu akuongoze katika maisha yako (Wagalatia 5:16)
9) Tafuta kuyajua mapenzi ya Mungu juu ya maisha yako (Warumi 12:1-2)
10) Tafuta haki na utakatifu (Mathayo 6:33)
11) Mtii Mungu katika kila jambo (Kumbukumbu la Torati 28:1-2)
12) Mtumikie Bwana Mungu wako kwa nguvu zako zote (1 Wakorintho 15:58)
MATOKEO YA KUKOSA KUUTUMIA VIZURI UJANA WAKO:
1) Majuto na malalamiko
2) Kulaani watu au kulaaniwa.
3) Kutofaulu katika maisha.
4) Kuchanganyikiwa
5) Kifo na uharibifu.
UTUKUFU APEWE MUNGU:
VICTOR MSERE AKIDIVA
CELL: 0762-179 401
E-mail: victormsere@yahoo.com
MAISHA YA UJANA YALIYOFANIKIWA (MITHALI 16:3)
Kijana yeyote anahitaji kufanikiwa katika maisha afaa kufanya mambo yafuatayo, kulingana na
Neno la Mungu.
1) ameokoka na kufahamu mapenzi ya Mungu kuhusu, katika maisha yake (Yohana 1:11-
13)
2) Kusoma, kutafakari na kutenda Neno takatifu la Mungu (Yoshua 1:8)
3) Humtii Mungu katika kila jambo afanyalo kupitia kwake Roho Mtakatifu (Kumbukumbu
la Torati 28:1-2)
4) Hudumu katika maombi (Wathesalonike 5:17)
5) Huchukia uovu na kutengeneza uhusiano mwema na Mungu wake (Warumi 12:21,
Zaburi 101:3-4, Mika 6:8)
6) Hutembea katika haki na utakatifu (Mathayo 5:10-12, Waebrania 12:14)
7) Hutengeneza madhabahu kwa ajili ya Mungu na kuzifuata njia za Mungu (Warumi
12:21, Zaburi 101:3-4, Mika 6:8)
8) Huchagua marafiki wema naye hawi na marafiki wengi. (Mithali 18:24)
9) Humwamini Mungu na kukiri uzima wakati wote (Mithali 18:21)
10) Huyafanya mambo wakati sahihi katika maisha yake (Mhubiri 3:1)
11) Hutia bidii katika kila jambo naye hana uvivu (Mithali 6:6-11)
12) Hufanya uamuzi bora naye hujitahidi katika aliloliamua na kulifanya (Danieli 1:8-12)
Kijana yeyote anayehitaji kufaulu lazima aishi maisha ya kibiblia ala sivyo mwisho wake huwa
si mzuri maana ipo njia ionekanayo kuwa nzuri machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake
huwa ni mauti Mithali 16:25.
Kufaulu na kutofaulu huwa katika nnjia ya vijana lakini zipo njia zinazo elekea kwake kila
mojawapo. Chochote unachokuchagua huwa na mwelekeo wa kufikia mojawapo. Ni chaguo lako
kupitia moja wapo ya nnjia hizo. Bwana Yesu akubariki unapofanya uamuzi wa kumfuata
Mungu katika utakatifu.
CELL: 0762-179 401
E-mail: victormsere@yahoo.com
KUSHINDA ZINAA (WAKORINTHO 6:9) NA UPOTOFU WA MAADILI:
Dhambi za kingono ni dhambi ambazo hutenda ndani ya mwili nazo huutia mwili unajisi ambao
ndio hekalu la Mungu. Huwa na ngome na roho ambazo hutenda kazi ili kutimiza mapenzi ya
Yule mwovu na adui wa haki yote. Dhambi hii hufuata msururu wa matukio kuanzia rohoni,
matamio, mawazo, au fikra, tama kisha dhambi.
Athari au hatari iliyopo katika dhambi za kingono:
(1) Huharibu hekalu la Mungu.
(2) Kifo au mauti ya kiroho na mwili (Mungu huhukumu dhambi za kingono)
(3) Adui wa mafuta ya kutiwa
(4) Huharibu na kuua hatima nzuri ya wahusika.
UPOTOFU WA MAADILI:
Maana yake ni kuhalifu maadili yaliyowekwa na jamii, ufisadi.
(1) Uharibifu wa kingono, kutenda ngono na watu wengi
(2) Kutokuwa kijamii kisahihi.
(3) Kuleta uchafu au ufisadi.
Ili mtu kuishinda zinaa na mambo haya yote lazima afanye mambo yafuatayo:-
(a) Afahamu jinsi Mungu huitazama dhambi hii 2 Samweli 11, 12:1-15 Bwana huufunga
mlango wake juu yako (adhabu na hukumu) nayo humsababisha mtu kuondoka katika
mapenzi ya Mungu, Mungu hukoma kusema nawe naye hukutumia manabii.
(b) Huleta mauti Waamuzi 16:1-25. Neno Delila humaanisha kunyonya uzima au kuondoa
uzima. Mambo ya Walawi 20:10-,17. Kumbukumbu la Torati 22:22-25, Mithali 6:20-35.
Neno vipodozi lina maana ya kidunia au udunia.
JINSI YA KUISHINDA ZINAA: WAEBRANIA 12:14 (DHAMBI ZA KINGONO)
(a) I Wathesalonike 4:3-8
1) Kuwa na hitaji au nia ya kutakaswa.
2) Ujazwe na kuongozwa na Roho Mtakatifu.
3) Uwe na maarifa ya Mungu.
(b) Warumi 1:21-28 (amua kuiacha zinaa na ngono isiyo halali)
KUHARIBU NA KUVUNJA MINYORORO YA DHAMBI YA KINGONO:
1) Maombi
2) Kujitenga (kimwili na kiroho) kwa ajili ya Mungu.
3) Kuomba na kufunga
4) Neno la Mungu
CELL: 0762-179 401
E-mail: victormsere@yahoo.com

More Related Content

Maisha ya ujana

  • 1. MAISHA YA UJANA/WAKATI WA UJANA (MHUBIRI 12:1-8) (VIJANA WA KIUME NA WAKIKE UMRI MIAKA 13-35) MJUMBE WA BWANA VICTOR MSERE AKIDIVA Ujana ni kipindi kati ya utoto na utu uzima au ukomavu. Kipindi chochote cha kuendelea kuwa au watu wachanga kwa ujumla. JINSI YA MAISHA YA UJANA: (i) Kuwa mbichi, na nguvu, pia kuchangamka (ii) Kutokuwa mkomavu (iii) Kuwa na uwezo wa kutunza maisha, nguvu nyingi, hai na muhimu sana, wakati huu mwili unauwezo wa nguvu nyingi hata kiakili. (iv) Majukumu machache na uhuru mwingi. (v) Muda wa kutosha au mwingi wa kufanya chochote utakacho katika maisha yako. MAMBO YA KUFANYA KATIKA MAISHA YA UJANA: 1) Weka msingi kwa ajili ya maisha yako (Mathayo 7:24-27) 2) Jenga madhabahu ya Bwana katika maisha yako (Waamuzi 6:11-40) 3) Tengeneza uhusiano wako na Mungu (Mika 6:8) 4) Chagua marafiki wema na sahihi (Mithali 18:24) 5) Tengeneza uhusiano wa haki na kweli (Mathayo 1:19-25) 6) Soma, tafakari na kulitenda Neno la Mungu (Yoshua 1:8) 7) Maombi kwa ajili ya maisha yako (Wathesalonike 5:17) 8) Mruhusu Roho wa Mungu akuongoze katika maisha yako (Wagalatia 5:16) 9) Tafuta kuyajua mapenzi ya Mungu juu ya maisha yako (Warumi 12:1-2) 10) Tafuta haki na utakatifu (Mathayo 6:33) 11) Mtii Mungu katika kila jambo (Kumbukumbu la Torati 28:1-2) 12) Mtumikie Bwana Mungu wako kwa nguvu zako zote (1 Wakorintho 15:58) MATOKEO YA KUKOSA KUUTUMIA VIZURI UJANA WAKO: 1) Majuto na malalamiko 2) Kulaani watu au kulaaniwa. 3) Kutofaulu katika maisha. 4) Kuchanganyikiwa 5) Kifo na uharibifu. UTUKUFU APEWE MUNGU: VICTOR MSERE AKIDIVA CELL: 0762-179 401 E-mail: victormsere@yahoo.com
  • 2. MAISHA YA UJANA YALIYOFANIKIWA (MITHALI 16:3) Kijana yeyote anahitaji kufanikiwa katika maisha afaa kufanya mambo yafuatayo, kulingana na Neno la Mungu. 1) ameokoka na kufahamu mapenzi ya Mungu kuhusu, katika maisha yake (Yohana 1:11- 13) 2) Kusoma, kutafakari na kutenda Neno takatifu la Mungu (Yoshua 1:8) 3) Humtii Mungu katika kila jambo afanyalo kupitia kwake Roho Mtakatifu (Kumbukumbu la Torati 28:1-2) 4) Hudumu katika maombi (Wathesalonike 5:17) 5) Huchukia uovu na kutengeneza uhusiano mwema na Mungu wake (Warumi 12:21, Zaburi 101:3-4, Mika 6:8) 6) Hutembea katika haki na utakatifu (Mathayo 5:10-12, Waebrania 12:14) 7) Hutengeneza madhabahu kwa ajili ya Mungu na kuzifuata njia za Mungu (Warumi 12:21, Zaburi 101:3-4, Mika 6:8) 8) Huchagua marafiki wema naye hawi na marafiki wengi. (Mithali 18:24) 9) Humwamini Mungu na kukiri uzima wakati wote (Mithali 18:21) 10) Huyafanya mambo wakati sahihi katika maisha yake (Mhubiri 3:1) 11) Hutia bidii katika kila jambo naye hana uvivu (Mithali 6:6-11) 12) Hufanya uamuzi bora naye hujitahidi katika aliloliamua na kulifanya (Danieli 1:8-12) Kijana yeyote anayehitaji kufaulu lazima aishi maisha ya kibiblia ala sivyo mwisho wake huwa si mzuri maana ipo njia ionekanayo kuwa nzuri machoni pa mwanadamu lakini mwisho wake huwa ni mauti Mithali 16:25. Kufaulu na kutofaulu huwa katika nnjia ya vijana lakini zipo njia zinazo elekea kwake kila mojawapo. Chochote unachokuchagua huwa na mwelekeo wa kufikia mojawapo. Ni chaguo lako kupitia moja wapo ya nnjia hizo. Bwana Yesu akubariki unapofanya uamuzi wa kumfuata Mungu katika utakatifu. CELL: 0762-179 401 E-mail: victormsere@yahoo.com
  • 3. KUSHINDA ZINAA (WAKORINTHO 6:9) NA UPOTOFU WA MAADILI: Dhambi za kingono ni dhambi ambazo hutenda ndani ya mwili nazo huutia mwili unajisi ambao ndio hekalu la Mungu. Huwa na ngome na roho ambazo hutenda kazi ili kutimiza mapenzi ya Yule mwovu na adui wa haki yote. Dhambi hii hufuata msururu wa matukio kuanzia rohoni, matamio, mawazo, au fikra, tama kisha dhambi. Athari au hatari iliyopo katika dhambi za kingono: (1) Huharibu hekalu la Mungu. (2) Kifo au mauti ya kiroho na mwili (Mungu huhukumu dhambi za kingono) (3) Adui wa mafuta ya kutiwa (4) Huharibu na kuua hatima nzuri ya wahusika. UPOTOFU WA MAADILI: Maana yake ni kuhalifu maadili yaliyowekwa na jamii, ufisadi. (1) Uharibifu wa kingono, kutenda ngono na watu wengi (2) Kutokuwa kijamii kisahihi. (3) Kuleta uchafu au ufisadi. Ili mtu kuishinda zinaa na mambo haya yote lazima afanye mambo yafuatayo:- (a) Afahamu jinsi Mungu huitazama dhambi hii 2 Samweli 11, 12:1-15 Bwana huufunga mlango wake juu yako (adhabu na hukumu) nayo humsababisha mtu kuondoka katika mapenzi ya Mungu, Mungu hukoma kusema nawe naye hukutumia manabii. (b) Huleta mauti Waamuzi 16:1-25. Neno Delila humaanisha kunyonya uzima au kuondoa uzima. Mambo ya Walawi 20:10-,17. Kumbukumbu la Torati 22:22-25, Mithali 6:20-35. Neno vipodozi lina maana ya kidunia au udunia. JINSI YA KUISHINDA ZINAA: WAEBRANIA 12:14 (DHAMBI ZA KINGONO) (a) I Wathesalonike 4:3-8 1) Kuwa na hitaji au nia ya kutakaswa. 2) Ujazwe na kuongozwa na Roho Mtakatifu. 3) Uwe na maarifa ya Mungu. (b) Warumi 1:21-28 (amua kuiacha zinaa na ngono isiyo halali) KUHARIBU NA KUVUNJA MINYORORO YA DHAMBI YA KINGONO: 1) Maombi 2) Kujitenga (kimwili na kiroho) kwa ajili ya Mungu. 3) Kuomba na kufunga 4) Neno la Mungu CELL: 0762-179 401 E-mail: victormsere@yahoo.com