Leo nataka tujifunze kuhusu mteja.Hapa tutapata kujua mambo tofauti tofauti yamhusuyo mteja.
Makampuni yaliyoendelea yana fokasi kwa mteja,Yanajipanga kufikia mahitaji ya wateja.
1 of 7
Download to read offline
More Related Content
Mjue mteja wako
1. MJUE MTEJA WAKO
Leo nataka tujifunze kuhusu mteja.Hapa tutapata
kujua mambo tofauti tofauti yamhusuyo mteja.
Makampuni yaliyoendelea yana fokasi kwa
mteja,Yanajipanga kufikia mahitaji ya wateja.
2. MTEJA NI NANI?
Mteja ni mtu anayehitaji huduma/bidhaa/msaada
kutoka kwako
-Mteja ni sababu ya wewe kuwa hapo ulipo.
Huduma nzuri kwa mteja ni ile ya kummsaidia
mteja zaidi ya kile anachohitaji.
3. MBINU BORA KUMVUTA WATEJA
-Vaa vizuri
-Furahia kusaidia watu
-Wahudumie vizuri
-Wajali wateja wako
-Wahudumie kwa usawa
-Tambua watu wenye mahitaji ya pekee
-Kuwa msafi
-Jiamini
-Kuwa na mpangilio mzuri
4. WATEJA WENYE MAHITAJI YA KIPEKEE
-Wateja wanaozungumza lugha tofauti
-Watu wenye ulemavu
-Wageni wa mji au maeneo ulipo
-Watoto
5. JINSI YA KUMHUDUMIA WATEJA
-Kuwa shapu,msalimu na kumkaribisha mteja mara moja unapomuona hata kama upo bize
-Tabasamu
-Usitumie lugha ya ukali
-Mwache awe huru
-Muulize anachohitaji usihisi ni nini anaweza hitaji
-Mfanye ajione ni muhimu kwako na unamthamini
-Msikilize kwa umakini
-Tambua tamaduni za watu wa mazingira(ili uweze wasalimia na kuwakaribisha ipasavyo)
-Mtambulishe aina,ubora wa bidhaa na huduma yako.
-Maliza kwa kuwashukuru na kumkaribisha tena
-Waelimishe wateja wako.
Kumbuka:-Huduma kwa mteja inaisha pale anaporidhika.
-Wewe sio mteja! hivo sio kila unachokiona ni ubora katika bidhaa na mteja atakiona hivohivo(msikilize )
6. MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA
KWA MTEJA
Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala
-Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize
-Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali
wengine)
-Kumtolea lugha chafu
7. MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA
KWA MTEJA
Kumwambia Sijui bila kumpa mbadala
-Kutokumjali mteja kwa kuwa upo bize
-Kuwahudumia kwa utofauti(kujali baadhi na kutojali
wengine)
-Kumtolea lugha chafu