Investigative journalism discussion starters, as presented to Daraja's media partners on the Maji Matone programme, November 8th, 2010.
1 of 11
Downloaded 14 times
More Related Content
Investigative Journalism ideas
1. HABARI ZA KICHUNGUZI
Na
Fred Kihwele
Afisa Mawasiliano na Habari
Mradi wa Maji Matone
Daraja Development LTD
www.daraja.org
8 Nov. 2010
2. Dondoo
Utangulizi
Maana ya habari za kichunguzi
Kwa nini Habari za kichunguzi
Nani ahusishwe
Nini Mategemeo ya jamii
Nini kifanyike
Kitoa uchovu
Hitimisho
Mwisho
3. Utangulizi
Asasi za kiraia pamoja na vyombo
vya habari vinayonafasi kubwa na
ya muhimu katika kuimarisha
demokrasia huru na utawala bora
katika kila nchi duniani kwa
maendeleo endelevu
Benjamin Mkapa
4. Maana ya habari za kichunguzi
Ni habari zilizo fanyiwa utafiti wa kina juu ya
mambo mbalimbali yanayofanyika katika jamii
kila siku kwa ajili ya matakwa na faida ya jamii
kwa ujumla.
Pia ni habari zilizohakikiwa kwa kina na kuwa
na ukweli halisi katika jamii husika.
Utafiti huu humfanya mwanahabari afanye
uchunguzi wa kina ndani ya jamii husika kwa
lengo la kufichua na kuifahamisha jamii juu ya
mambo mbali mbali.
5. Kwanini habari za kichunguzi
Jamii inajukumu la kupata ukweli wa matatizo
yanayowazunguka kupitia tafiti mbalimbali
zitakazo ibua mijadala yenye manufaa kwa
jamii na maendeleo ya jamii husika.
Pia ni lazima kuwe na habari za kichunguzi kwa
kuwa jamii inahitaji kutambua mambo
mbalimbali yaliyofichika ili kuleta changamoto.
6. Nani ahusishwe
Asasi za kiraia
Vyombo vya habari
Wanaharakati
Wanahabari
Wananchi
7. Nini Mategemeo ya jamii
Kupata taarifa za uhakika zitakazo hamasisha
ushiriki wao katika harakati za maendeleo.
Kuwafanya wawe na uthubutu wa kuhoji na
kuchanganua mijadala na sera
zitakazowahamasisha kuleta maendeleo.
Kuelimika kwa kupitia habari zinazoibua
changamoto mpya za kupamabana na
umaskini.
Kuhamasika na kuhakikisha inatambua wajibu
wake.
8. Nini kifanyike
Kupitia vyombo vya habari jamii itambue haki
yake ya ushiriki katika kuleta maendeleo.
Kuibua mijadala mbalimbali itakayompa nafasi
mwananchi kupata ufahamu juu ya sera.
Kuhakikisha mambo mbalimbali yaliyofichika
yanaibuliwa ikiwa ni pamoja na tatizo kubwa la
uhaba wa maji.
Kuhamasisha utendaji bora na ule unaomjali
mwananchi wa kijijini kutoka kwa watendazi
wa serikali za mitaa.
Kutokomeza kila dalilli ya ufisadi katika
huduma ya maji vijijini.
9. Kitoa uchovu
Ni jinsi gani waweza kupata mada kwa
ajili ya habari ya kiuchunguzi?
Fahamu lengo la uchunguzi
Fahamu matarajio yako
Fahamu vyanzo vya habari
Andaa maswali ya mwanzo na mengine
huendelea kadri uendeleavyo
Anza mahojinao na vyanzo vya habari na
kukusanya viambatanisho kama vipo.
Rudia tena lengo lako na kuanza kuandaa kazi
ishio
10. Hitimisho
Habari za kichunguzi ni muhimu katika jamii kwa kuwa ni njia
ambayo inaweza kuleta mabadiliko chanya kwa jamii.
Kutokuwa na habari za kichunguzi, jamii haiwezi kutambua
mambo mbalimbali yaliyofichika kitu ambacho kinapelekea
jamii kutotambua wajibu wake.
Asasi za kiraia na jamii kwa ujumla itatambua wajibu wake
iwapo kutakuwa na habari za uchunguzi. Tuimarishe na
kuhamasisha habari za uchunguzi ili kuleta mabadiliko na
maendeleo katika jamii.